KAMATI YA MASHINDANO NA USAJILI YA COASTAL UNION YAWEKA BAYANA MIKAKATI YAO | LUKAZA BLOG

KAMATI YA MASHINDANO NA USAJILI YA COASTAL UNION YAWEKA BAYANA MIKAKATI YAO

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Usajili  katika Klabu ya Coastal Union,Hemed Aurora akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati h...

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Usajili  katika

Klabu ya Coastal Union,Hemed Aurora akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kujadili masuala ya usajili na mashindano kilichoketijuzi kwenye ukumbi wa makao makuu ya klabu hiyo,kushoto ni mjumbe wa kamati hiyo,Abdallah Zuberi,kulia ni Hussein Chuse na anayefuatia ni Katibu Mkuu wa Klabu ya Coastal Union Salim Bawaziri
 Mjumbe wa Kamati ya Mashindano na Usajili ya Klabu ya Coastal Union,Steven Mguto akiuliza swali wakati wa kikao cha kamatihiyo kujadili masuala ya usajili na mashindano
kilichoketi juzi kwenye ukumbi wa makao makuu ya klabu hiyo
Katibu Mkuu wa Klabu ya Coastal Union,Salim Bawaziri akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kikao hicho

Kamati hiyo inaundwa na wajumbe wengine ambao ni Abdi Masamaki,Salim Bawaziri,Hemed Mbaruku,Hussein Chuse,Abdallah Zuberi “Unenge” na Juma Mgunda ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia mashindano na usajili. Picha kwa hisani ya kitengo cha Mawasiliano cha timu ya Coastal Union.

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item