KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZIMAMOTO AFUNGA MAFUNZO YA WAHITIMU 156 | LUKAZA BLOG

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZIMAMOTO AFUNGA MAFUNZO YA WAHITIMU 156

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati) akifurahia jambo wakati Gwaride lilipokua lik...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati) akifurahia jambo wakati Gwaride lilipokua likiendelea mara alipofika Chuoni hapo kufunga mafunzo ya wahitimu 156  wa Kozi ya Uongozi Daraja la Pili, Chuo cha Zimamoto na Uokoaji katika Kijiji cha  Cogo kilichopo Wilaya ya Jimbo la Handeni Mkoa wa Tanga, kulia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani  Rwahila na kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mmoja wa wahitimu hao pichani Abdallah Ulutu akiwa tayari ametunukiwa cheo chake
Wahitimu hao wakiwa katika Gwaride
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (wa pili kushoto) akikagua Gwaride

Gwaride likipita mbele ya Mgeni Rasmi

Mgeni Rami katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Handeni Tanga, Husna Msangi  wapili kushoto na kuanzia kilia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani  Rwahila, Sajenti Damian Muheya ambapo ni Afisa habari wa Jeshi hilo na anae fatia ni Kamishna Jenerali Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye


Related

kitaifa 4355170558728214951

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item