Madereva TBL Mbeya wapata mafunzo ya udereva wa kujihami na utunzaji wa vyombo wanavyoendesha | LUKAZA BLOG

Madereva TBL Mbeya wapata mafunzo ya udereva wa kujihami na utunzaji wa vyombo wanavyoendesha

  Mtaalamu wa magari Herbet Kubu akiwaelekeza madereva jinsi ya kuangalia usalama wa injini ya gari na utunzaji za magari Mader...

 Mtaalamu wa magari Herbet Kubu akiwaelekeza madereva jinsi ya kuangalia usalama wa injini ya gari na utunzaji za magari
Madereva waliohudhuria mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja na mkufunzi Herbet Kubu kiwandani Mbeya

Kampuni ya TBL Group katika mwendelezo wake wa kuzingatia usalama kazini imeandaa mafunzo kwa madereva wake wanaosambaza bidhaa zake yanayohusiana na udereva wa kujihami.Mafunzo hayo  yatafanyika kwenye viwanda vyote vya kampuni na yanaendeshwa na mtaalamu kutoka kampuni ya CFAO Motors Expert Herbert Kubu ambapo jana ujuzi huo umewafikia madereva wa kiwanda cha Mbeya

Related

Biashara 2420449895188982822

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item