Madereva TBL Mwanza wapigwa msasa kuhusu udereva wa kujihami | LUKAZA BLOG

Madereva TBL Mwanza wapigwa msasa kuhusu udereva wa kujihami

  Madereva wa Kiwanda cha Bia TBL mkoani Mwanza wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Herbert Kubo kiwandani hapo jana.  ...

 Madereva wa Kiwanda cha Bia TBL mkoani Mwanza wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Herbert Kubo kiwandani hapo jana.
 Mkufunzi, Herbert Kubo akitoa elimu kwa madereva wa Kiwanda cha Bia TBL mkoani Mwanza katika mafunzo ya wafanyakazi hao yaliyofanyika kiwandani hapo jana.
Kampuni ya TBL Group katika mwendelezo wake wa kuzingatia usalama kazini imeandaa mafunzo kwa madereva wake wanaosambaza bidhaa zake yanayohusiana na udereva wa kujihami.Mafunzo hayo  yatafanyika kwenye viwanda vyote vya kampuni na yanaendeshwa na mtaalamu kutoka kampuni ya CFAO Motors Expert Herbert Kubu.

Related

Biashara 8804038023695218349

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item