MLIMBWENDE WA TAJI LA MISS ILEMELA 2016 APATIKANA. | LUKAZA BLOG

MLIMBWENDE WA TAJI LA MISS ILEMELA 2016 APATIKANA.

Mlimbwende Maria Frances (katikati) ametwaa taji la MISS ILEMELA 2016. Shindano la kumsaka mlimbwende huyo lilifanyika usiku wa jana June...

Mlimbwende Maria Frances (katikati) ametwaa taji la MISS ILEMELA 2016. Shindano la kumsaka mlimbwende huyo lilifanyika usiku wa jana June 04,2016 katika viunga vya Rock City Mall Jijini Mwanza. Katika shindano hilo, nafasi ya pili imenyakuliwa na Mwanaisha Hija (kulia) huku nafasi ya tatu ikinyakuliwa na Happness Contantine (kushoto).
Imeandaliwa na BMG
Miss Ilemela 2016, Maria Frances, akizungumza na BMG baada ya kutwaa taji hilo usiku wa kuamkia leo.
Miss Ilemela 2016 nambari mbili, Mwanaisha Hija, akizungumza na BMG baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Miss Ilemela 2016 nambari tatu, Happness Contantine, akizungumza na BMG
Washiriki wa Miss Ilemela waliobahatika kuingia nafasi tano bora. Kulikuwa na washiriki 22
Washiriki wa Miss Ilemela 2016 wakipita jukwaani kwa madaha kabisa
Washiriki wa Miss Ilemela 2016, wakionyesha umahiri wa kucheza muziki
Majaji wa shindano la Miss Ilemela 2016
James Peter Chuwa, ambae ni Afisa Tarafa Ilemela, akizungumza kwa niaba ya mgeni rasmi Miss Ilemela 2016, Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Manju Msambya.
Mchekeshaji Maganiko akichekesha jukwaani
Msanii chipukizi kutoka jijini Mwanza, G-Ricko akitoa burudani katika shindano la Miss Ilemela 2016
Msanii Nay Wa Mitego akitoa burudani katika shindano la Miss Ilemela 2016.

Related

Urembo & Fashion 3264025360993981406

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item