MTOTO LUQMAN ALLY AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE | LUKAZA BLOG

MTOTO LUQMAN ALLY AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Luqman Ally (14) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tarehe 13 Juni mwaka huu, anasoma shule ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita ili...

Luqman Ally (14) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tarehe 13 Juni mwaka huu, anasoma shule ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.

Mara ya kwanza alitoroka wiki mbili zilizopita na akapatikana katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira Magumu cha Chad kilichopo Mazese.

Taarifa imetolewa katika kituo cha Polisi cha Majimajitu Mbagala jijini Dar es Salaam kwa  RB .NO MAT/RB/618/16. Yeyote ambaye atamwona mtoto huyo apige


NAMBAYA YA SIMU. 0655891200. MAMA YAKE MZAZI WA LUQMAN.

Related

Hot Stories 729930891850063817

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item