News Alert:Mbunge wa ukonga, Mwita Waitara (Chadema) ashinda kesi ya uchaguzi | LUKAZA BLOG

News Alert:Mbunge wa ukonga, Mwita Waitara (Chadema) ashinda kesi ya uchaguzi

Mbunge wa UKONGA Mh. Mwita Waitara (CHADEMA) ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Octob...

Mbunge wa UKONGA Mh. Mwita Waitara (CHADEMA) ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge katika uchaguzi mkuu wa October 2015.

Kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa na mgombea wa ccm Jerry Silaa. Hukumu hiyo imetolewa leo, muda mfupi uliopita na Jaji Fatma Msengi wa Mahakama kuu Dar es salaam.  

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

Related

Siasa 4843383976253161056

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item