POLISI YAWAONDOA WAMACHINGA WALIOKAIDI AMRI YA KUWATAKA KUONDOKA MTAA KONGO | LUKAZA BLOG

POLISI YAWAONDOA WAMACHINGA WALIOKAIDI AMRI YA KUWATAKA KUONDOKA MTAA KONGO

 Askari Polisi wakizima moto uliokuwa umewashwa na wafanyabiashara ndongondogo ‘maarufu kwa jina la wamacchinga’ waliokuwa wamepanga bi...

 Askari Polisi wakizima moto uliokuwa umewashwa na wafanyabiashara ndongondogo ‘maarufu kwa jina la wamacchinga’ waliokuwa wamepanga bidhaa zao chini katika katika mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam leo, wakipinga kuondolewa katika mtaa huo. (Picha na Francis Dande)
 Polisi wakizima moto uliowashwa na wamachinga.
 Askari wakiwa wameimarisha ulinzi katika mtaa wa Kongo.
 Zoezi la kuzima moto likiendelea.
 Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya kuondolewa kwa wamachinga.
 Wanachi wakipita katika Mtaa wa Kongo bila usumbufu wowote baada ya wafanyabiashara wanaopanga bidhaa zao chini kuondolewa na Polisi leo.
 Gari la Polisi likiwa katika mtaa wa Kongo. 
 Polisi wakiwa Diria.
 Garoi la Polisi likimwaga maji kuzima moto uliokuwa unawaka. 
 Wananchi wakipita kandokando ya magari ya Polisi.
 Polisi wakizima moto.

Related

Hot Stories 2508256255327147002

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item