Prof Lipumba aomba kurudi CUF na kupewa nafasi yake ile ile ya zamani | LUKAZA BLOG

Prof Lipumba aomba kurudi CUF na kupewa nafasi yake ile ile ya zamani

Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Prof. Lipumba amemwandikia Katibu Mkuu wa chama cha CUF barua ya kutengua uamuzi wake wa awali wa kujiuzulu ...

Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Prof. Lipumba amemwandikia Katibu Mkuu wa chama cha CUF barua ya kutengua uamuzi wake wa awali wa kujiuzulu Uenyekiti.
Pia akiongea na waandishi asema Bajeti ya mwaka wa Fedha 2016/17 yenye thamani ya zaidi ya trilioni 29.5 haiendani na uhalisia.

Related

Siasa 5472971107256172083

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item