Swali letu la Msingi:Nini mtazamo wako juu ya bajeti ya Serikali iliyosomwa leo na Waziri wa Fedha? | LUKAZA BLOG

Swali letu la Msingi:Nini mtazamo wako juu ya bajeti ya Serikali iliyosomwa leo na Waziri wa Fedha?

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Phillip Mpango akiwasilisha bungeni hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2015/2016na mwelekeo wa mpango wa ta...

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Phillip Mpango akiwasilisha bungeni hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2015/2016na mwelekeo wa mpango wa taifa wa maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Leo ilikua siku muhimu sana kwa watanzania na wakazi wake kwa kupata kufahamu ni vipi vipaumbele vya Serikali kwa Mwaka huu wa Fedha 2016/2017 na je Bajeti ya Mwaka huu wa fedha 2016/2017 ni bajeti ambayo ina msaada kwa mwananchi wa hali ya chini?

Waziri wa fedha leo amesoma bajeti ya Taifa kwa Mwaka wa fedha 2016/2017  je Bajeti hiyo ni rafiki kwa Mwananchi wa kipato cha Chini?

Hilo ndio swali letu la msingi kwa siku ya leo

Kama hukufanikiwa kusikiliza bajeti aliyosoma Waziri wa Fedha Dkt Phillip Mpango leo Bungeni Basi unaweza Kuisoma kwa kubofya link hii 

Related

kitaifa 3462645504846137440

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item