Victor Wanyama ajiunga na Tottenham Hotspur | LUKAZA BLOG

Victor Wanyama ajiunga na Tottenham Hotspur

Image caption Victor Wanyama Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni ...


Image captionVictor Wanyama
Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11.
Inaaminika kuwa wanyama mwenye umri wa miaka 24, ambaye alijiunga na Southampton akitokea Celtic mwezi Julai mwaka 2013 kwa pauni milioni 12.5, kwa sasa anafanyiwa uchunguzi wa kiafya.
Sasa wanyama ataungana na meneja wake wa zamani Maurico Pochettino.

Related

Michezo 7006318564373238482

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item