Basi la mwendokasi lagongwa na gari dogo asubuhi ya leo | LUKAZA BLOG

Basi la mwendokasi lagongwa na gari dogo asubuhi ya leo

Gari la Mwendo wa haraka lenye namba za usajili T 968 DGV limegongwa na gari aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC leo kati...

Gari la Mwendo wa haraka lenye namba za usajili T 968 DGV limegongwa na gari aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC leo katika eneo la Kisutu jijini Dar es Salam.  Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni Dereva wa gari dogo aina ya Cresta kutokuangalia vizuri wakati anavuka barabara ya mabasi yaendayo haraka katika eneo la Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Gari aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC linavyoonekana katika picha baada ya kugonga gari la mwendo haraka katika eneo la kisutu jijini Dar es Salaam leo.

Related

Hot Stories 2385721666892614176

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item