HAPPY BORN DAY MWANANZENGO ELIZABETH BONIVENTURE | LUKAZA BLOG

HAPPY BORN DAY MWANANZENGO ELIZABETH BONIVENTURE

Julai 27 miaka kadhaa iliyopita, ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa Elizabeth Boniventure (kushoto) ambae ni miongoni mwa timu ya Wananzengo wa...

Julai 27 miaka kadhaa iliyopita, ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa Elizabeth Boniventure (kushoto) ambae ni miongoni mwa timu ya Wananzengo wa 102.5 Lake Fm Mwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.

Kama ilivyo ada, uongozi wa Lake Fm umemuandalia tafrija fupi, mitaa ya ofisini, Liberty Jijini Mwanza, ambapo Wananzengo wenzake wamejumuika pamoja kufurahia siku yake ya kuzaliwa kama picha zinavyoonekana.
BMG inakutakia Maisha Mema Mwananzengo Elizabeth Boniventure.

Related

kitaifa 1061814611672008766

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item