JAJI MKUU ATEMBELEA BANDA LA GLOBAL LINK EDUCATION VIWANJA VYA SABASABA | LUKAZA BLOG

JAJI MKUU ATEMBELEA BANDA LA GLOBAL LINK EDUCATION VIWANJA VYA SABASABA

 Jaji Mkuu , Othman Chande,  akiwasili Viwanja vya maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Viwanja vya  Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijin...

 Jaji Mkuu , Othman Chande,  akiwasili Viwanja vya maonesho ya 40 ya
Biashara ya Kimataifa Viwanja vya  Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es
Salaam.
 Jaji Mkuu , Othman Chande akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi  wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel, wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja  vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
 Jaji Mkuu ,Othman Chande akiongozwa na Mkurugenzi wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel, wakati alipokuwa akitembelea  kuangalia huduma mbalimbali kwenye Banda hilo jinsi Wananchi wanavyoweza  kujiunga na vyuo vya nje ya nchi, wakati akiwa katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Viwanja  vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu Othman Chande,  akioneshwa  na Mkurugenzi wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel, Tuzo mbalimbali walizowahi kutunukiwa.
 Jaji Mkuu Othman Chande,  akioneshwa  na Mkurugenzi wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel, Tuzo mbalimbali walizowahi kutunukiwa.
 Jaji Mkuu , Othman Chande,  akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa  Global Link Education, Abdumalik Mollel alipotembelea banda hilo
Sehemu ya wananchi wakipata huduma katika banda hilo la Global Link Education.

Related

Hot Stories 2772501815760740929

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item