KILIMANJARO COOPERATIVE BANK YAKABIDHI MADAWATI 100 KWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO. | LUKAZA BLOG

KILIMANJARO COOPERATIVE BANK YAKABIDHI MADAWATI 100 KWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO.

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) Reginald Hosea (Kulia) akipeana mkono na Mkuu wa Mkoa wa Kiliman...

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) Reginald Hosea (Kulia) akipeana mkono na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky  Sadick wakati akikabidhi msaada wa Madawati 100 yaliyotolewa na Benki hiyo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) akizungumza jambo kuhusu msaada huo wa madawati.
 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akimshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa KCBL ,Reginald Hosea kwa niaba ya benki hiyo kwa msaada wa Madawati.
  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akipena mikono na Meneja Mkuu wa Benki ya KCBL ,Elizabeth Makwabe wakati wa kukabidhi madawati hayo.
 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa madawati 100 kutoka benki ya KCBL.
 Baadhi ya Madawati yaliyotolewa na KCBL .

Na Dixon Busagaga,Kanda ya Kaskazini.

Related

kitaifa 1679474826107247554

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item