Lori lagonga kingo za Daraja la Kigamboni usiku wa kuamkia leo | LUKAZA BLOG

Lori lagonga kingo za Daraja la Kigamboni usiku wa kuamkia leo

 Pichani ni baadhi ya mashuhuda wakiliangalia lori lililopoteza muelekea na kugonga kingo za daraja la Nyerere Kigamboni, na kupinduka ...

 Pichani ni baadhi ya mashuhuda wakiliangalia lori lililopoteza muelekea na kugonga kingo za daraja la Nyerere Kigamboni, na kupinduka usiku huu. chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na haijajulikana kama kuna aliepoteza maisha au majeruhi katika ajali hiyo.
Muonekani wa lori hilo baada ya ajali.Credit Michuzi Blog

Related

Hot Stories 6555432697447400455

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item