MADC WAPYA MKOANI TANGA WATAKIWA KUSIMAMIA SHUGHULI ZA MAENDELEO KWA UMAKINI MKUBWA | LUKAZA BLOG

MADC WAPYA MKOANI TANGA WATAKIWA KUSIMAMIA SHUGHULI ZA MAENDELEO KWA UMAKINI MKUBWA

Katibu Tawala Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akizungumza kwenye halfa ya kuapishwa wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga kulia ni Mku...

Katibu Tawala Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akizungumza kwenye halfa ya kuapishwa wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Tanga,Martine Shigella na Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Othumani  Shijja.


Mkuu wa wilaya mpya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella leo kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Mhandisi Mwanaisha Rajabu akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martne Shigella 

Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Abdallah Issa akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga leo.
Mkuu wa wilaya Mpya wa Handeni Mkoani Tanga,Godwin Gondwe akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Robert Gabriel akila kiapo kwa Mkuu  wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella anayeshuhudia kulia ni Katibu Tawala  wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Said.
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarfu Professa  Maji Marefu kulia akimtambulisha Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mkoani  Mwanza (CCM)Stanslaus Mabula wakati wa Halfa ya kuapishwa wakuu wa wilaya wapya leo
Mkuu wa wilaya Mpya wa Handeni Mkoani  Tanga,Godwin Gondwe kulia akitete jambo na Mwandishi wa ITV na Radio One Mkoani Tanga,William Mngazija mara baada ya kuapishwa
Mkuu wa Mkoa wa Tanga katikati akiwa picha ya pamoja na wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga leo mara baada ya kuwaapisha
Picha kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

Related

kitaifa 5805440067089322573

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item