Mbwa anayefanya mazoezi makali ya kutunisha misuli | LUKAZA BLOG

Mbwa anayefanya mazoezi makali ya kutunisha misuli

Image caption Mbwa anayechapa zoezi kali Je wewe hufanya mazoezi ya kuboresha afya yako kila siku ? Amini usiamini , nchini Uingereza k...

Image captionMbwa anayechapa zoezi kali
Je wewe hufanya mazoezi ya kuboresha afya yako kila siku ?
Amini usiamini , nchini Uingereza kuna mbwa anayefanya mazoezi na kutunisha misuli ya miguu na mikono kwa mpia kila siku
Mbwa wa polisi nchini Uingereza amewashangaza watu wengi.
Mbwa huyo alijiunga na afisa wa polisi Steve Hopwood kutoka kituo cha polisi cha Avon Somerset kufanya mazoezi .
Mbwa huyo hupiga ''Pressups'' 22 kila siku.
Yaani mbwa huyo aina ya German Shephered anaweza kutunisha misuli mara 22 kwa mpigo kila wakati akifwata maagizo ya afande Hopwood.
Mbwa huyo anajiunga na afande Hopwood katika ''22PressUps Challenge'' kwa nia ya kuhamasisha umma na serikali kuhusiana na ongezeko la idadi ya maafisa wanaojitia kitanzi baada ya kustaafu kazini.

Related

Kimataifa 6725675239268062830

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item