MKURUGENZI WA NHC BW. MEHEMIA MCHECHU AZUNGUMZIA MIRADI YA SHIRIKA HILO KATIKA MAONYESHO YA SABASABA | LUKAZA BLOG

MKURUGENZI WA NHC BW. MEHEMIA MCHECHU AZUNGUMZIA MIRADI YA SHIRIKA HILO KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

 Mkurugenzi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maonyesho ya TANTRADE Sabas...

 Mkurugenzi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maonyesho ya TANTRADE Sabasaba yanayoendelea katika viwanja hivyo vilivyopo barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam ambapo ameelezea uendelezaji na uuzaji wa nyumba katika maeneo mbalimbali unaoendelea katika miradi yao iliyopo nchi nzima.
  Mkurugenzi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akifafanua jambo kuhusu mipango ya shirika hilo wakati akizungumza na wanahabari katika banda la maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya TANTRADE barabara ya Kirwa.
 Clara  Lumbanga Ofisa Maeneleo ya Biashara NHC akimuangalia mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo wakati alipokuwa akisaini kitabu cha wageni.
  Mkurugenzi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akifurahia jambo na baadhi ya wateja waliotembelea katika banda hilo.
  Clara  Lumbanga Ofisa Maeneleo ya Biashara NHC akitoa maelezo kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC.
  Clara  Lumbanga Ofisa Maeneleo ya Biashara NHC akipokea wageni mbalimbali waliofika katika banda hilo ili kujionea shughuli mbalimbali za shirika hilo.
Bw. Emmanuel Lyimo Ofisa Utafiti wa Masoko akizungumza na Mkurugenzi wa Blogu ya Fullshangweblog Bw. John Bukuku wakati alipotembelea katika banda la NHC.
 Clara  Lumbanga Ofisa Maeneleo ya Biashara NHC akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa shirika la NHC wanaoshiriki katika maonyesho ya TANTRADE yanayofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba jijini Dar es salaam katika barabara ya Kirwa.

Related

kitaifa 5957736558410614860

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item