MKUU WA WILAYA YA ILALA AUNGANA NA WATENDAJI WAKE KUSAMBAZA MAPIPA YA KUWEKEA TAKA BARABARA YA KIVUKONI DSM | LUKAZA BLOG

MKUU WA WILAYA YA ILALA AUNGANA NA WATENDAJI WAKE KUSAMBAZA MAPIPA YA KUWEKEA TAKA BARABARA YA KIVUKONI DSM

Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema akiongozana na Edward Mpogolo Katibu Tawala wa wilaya hiyo wakati walipoongoza zoezi la kusambaz...

tem01Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema akiongozana na Edward Mpogolo Katibu Tawala wa wilaya hiyo wakati walipoongoza zoezi la kusambaza mapipa ya kuwekea takataka kwenye barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam kwa ajili ya udhibiti wa utupaji wa taka hovyo.
tem1
Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema katikati akiongozana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Bw.Msongela Palela kushoto pamoja na Edward Mpogolo Katibu Tawala wa wilaya hiyo weka mapipa ya kuhifadhia takataka katika barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam.
tem2Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema akiongozana akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala juu ya mpangilio wa uwekaji wa mapipa ya kuhifadhia takataka kwenye barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam jana.

Related

Kijamii 7315459846950358136

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item