MTOTO AGUNDULIKA AKIWA AMEFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE KWA MIAKA 11 MBEYA | LUKAZA BLOG

MTOTO AGUNDULIKA AKIWA AMEFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE KWA MIAKA 11 MBEYA

Kijana Emanuel Fedrick (20)  Mkazi wa Mwambenja Kata ya Ilemi jijini Mbeya   mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili akiwa amelala nd...

Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Kata ya Ilemi jijini Mbeya   mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili akiwa amelala ndani ,kwa zaidi ya miaka 11 sasa kwa kile kinacho elezwa kuwa ni kufichwa ndani na wazazi wake ili kuondoa aibu ya familia .
Mahali anapo lala  kijana Emanuel Fedrick (20)Mkazi wa Mwambeja Kata ya Ilemi jijini kwa zaidi ya Miaka 11 sasa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuficha aibu ya familia.
Kijana Emanuel Fedrick (20)  mwenye tatizo la utindio wa ubongo akiwa amebebwa na shangazi yake Stella Mbuligwe  mara baada ya kutoka kufanyiwa usafi wa mwili kutokana na wazazi wake kutoweza kutoa ushirikiano kwa kijana huyo..
Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Ilemi jijini Mbeya ambaye anatatizo la akili na ulemavu wa viungo akipelekwa ndani na shangazi yake ,Stella Mbuligwe mara baada yaa kufanyiwa usafi na kupatiwa chakula

Na EmanuelMadafa,Mbeya
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana  mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili, amegundulika kufungiwa ndani  kwa zaidi ya miaka 11 na wazazi wake katika eneo la Mwambenja Kata ya Ilemi Jijini hapa.
                                                                    
Kijana huyo, mwenye umri wa miaka 20, ambaye amejulikana kwa jina la Fredrick Emmanuel ametajwa kuwa amekuwa akiishi ndani bila ya kutolewa nje  hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kudhohofisha mwili wake .

Related

kitaifa 8636771076040341168

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item