News Alert: Kituo cha Foreplan Clinic chafutiwa usajili | LUKAZA BLOG

News Alert: Kituo cha Foreplan Clinic chafutiwa usajili

Baraza la tiba Asili na tiba mbadala limemfutia usajili tabibu JUMA MWAKA maarufu kama Dokta mwaka wa kituo cha FOREPLAN CLINIC huku lik...

Baraza la tiba Asili na tiba mbadala limemfutia usajili tabibu JUMA MWAKA maarufu kama Dokta mwaka wa kituo cha FOREPLAN CLINIC huku likimsimamisha tabibu simon rusigwa wa kituo cha sigwa herbal clinic kwa kipindi cha miezi sita kwa kukiuka taratibu za utoaji wa huduma hizo.

Taarifa kamili inakuijia hivi punde

Related

Hot Stories 870963042019950793

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item