News Alert: Rais JPM amteua Augustino Mrema kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Parole | LUKAZA BLOG

News Alert: Rais JPM amteua Augustino Mrema kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Parole

Augustino Mrema. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania amefanya uteuzi mbalimbali leo na kupandisha vyeo baadhi ya maofisa wa polis...

Augustino Mrema.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania amefanya uteuzi mbalimbali leo na kupandisha vyeo baadhi ya maofisa wa polisi huku Agustino Mrema akiteuliwa Kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole kwa Kipindi cha Miaka mitatu. Uteuzi huo unaanza rasmi leo.

Related

Hot Stories 1148181322620720093

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item