Nini sababu ya matangazo ya kupotelewa na vyeti kuongezeka kwenye magazeti mara baada ya serikali kutangaza kuhakiki vyeti kwenye taasisi na ofisi za umma? | LUKAZA BLOG

Nini sababu ya matangazo ya kupotelewa na vyeti kuongezeka kwenye magazeti mara baada ya serikali kutangaza kuhakiki vyeti kwenye taasisi na ofisi za umma?

Moja ya Gazeti likiwa limejazwa na matangazo ya kupotelewa na vyeti maara baada ya Serikali kuagiza uhakiki wa vyeti kufanyika. Siku ...

Moja ya Gazeti likiwa limejazwa na matangazo ya kupotelewa na vyeti maara baada ya Serikali kuagiza uhakiki wa vyeti kufanyika.

Siku za hivi karibuni baada ya serikali kusema inafanya uhakiki kwa wafanyakazi wote wa umma hasa katika kuhakiki vyeti vyao vya elimu na utaalamu siku chache baadae kwenye magazeti mengi kukaanza kuonekana matangazo ya kupotelewa kwa vyeti huku idadi ikiendelea kuwa kubwa.

 Je ni nini kimepelekea watu wengi kiasi hiko kutangaza kupotelewa na vyeti vyao mara baada ya serikali kutangaza ofisi na taasisi zake kufanya ukaguzi wa vyeti?

Tujadiliane hapa

Related

Hot Stories 985929727890580942

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item