Shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika kuonyeshwa leo kupitia chaneli ya Trace | LUKAZA BLOG

Shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika kuonyeshwa leo kupitia chaneli ya Trace

mwanamuziki nguli kutoka nchini marekani na jaji mkuu wa shindano la Airtel Trace Music Stars Keri Hilson (wa pili kushoto) akiwa katika ...

mwanamuziki nguli kutoka nchini marekani na jaji mkuu wa shindano la Airtel Trace Music Stars Keri Hilson (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki waliongia tatu bora ambao wametoka nchi ya Zambia, Tanzania na Madagascar

Shindano la Airtel Trace Music Stars la Afrika lililofanyika nchini Nigeria linategemea kuonyeshwa live leo kupitia kituo cha television cha Trace chanel 325 saa tatu kamili usiku, katika shindano hilo tutashuhuhia washiriki kutoka nchi 10 barani Afrika wakichuana vikali kila mmoja akionyesha kipaji chake cha kuimba ikiwemo mshiriki kutoka Tanzania Bi Melisa  John

ili kupata burdani na kushuhudia ni jinsi gani washiriki hawa walivyoonyesha vipaji leo saa 3 kamili usiku fungua kituo cha TRACE Urban namba 325 kinachopatikana kupitia kingamuzi cha DSTV.

marudio ya kipindi hiki ni siku yatakuwa siku ya ijumaa saa 8 mchana katika kitu hicho hicho cha TRACE 

Related

Burudani 3116211770175264704

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item