Sokwe mtu awa kivutio kwa wanahabari katika hifadhi ya milima | LUKAZA BLOG

Sokwe mtu awa kivutio kwa wanahabari katika hifadhi ya milima

Kundi la Wanahabari wakiongozwa na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete (mwenye fimbo)wakijiandaa k...

Kundi la Wanahabari wakiongozwa na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete (mwenye fimbo)wakijiandaa kueleke katika maeneo wanako patikana Sokwe mtu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale.
Safari ya kuwatafuta Sokwe Mtu ndani ya Hifadh ya Taifa ya Milima ya Mahale ikaanza kwa kupita ndani ya msitu mnene ,mabonde na hata vipando .
Kundi la Wanahabari likiongozwa na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  Pascal Shelutete wakiwa wamevalia "Mask" kwa ajili ya kuzuia magonjwa yanayoweza kuambukiza kati ya Sokwe na Binadamu.
Sokwe mtu aliyepewa jina la Michio ndiye alikuwa wa kwanza kuonekana mbele ya kundi la wanahabri waliotembelea Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale iliyopo mkoani Kigoma.
Safari ya kuwatafuta Sokwe mtu inaendana na msemo unaosema "Huwezi kumuona Sokwe bila kutoka jasho"ili kuhamsisha wageni kuendelea kua na nguvu ya kumuona Sokwe wakati mwingine waongoza Wageni walilazimika kuelezea vitu mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo .
Wakati mwingine wageni walipata mahala kwa ajili ya kupumzika huku wakisikiliza milio ya Sokwe wapi inatokea.
Safari iliendelea.
Mwisho wa siku familia moja ya Sokwe ikaonekana ikiwa na mtoto mmoja.
wa Michuzi Blog ,Kigoma.

Related

kitaifa 2277146735709671690

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item