SWALA YA ED-EL-FITR ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI | LUKAZA BLOG

SWALA YA ED-EL-FITR ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI

Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed- El- Fitr iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi. Waumini wa...

Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed- El- Fitr iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye swala hiyo.
Mratibu wa swala hiyo ya Ed El-Fitr, Sheikh Othman Abdallah Dishi (kulia), akizungumza katika swala hiyo.
Watoto wakishiriki swala hiyo.
Sheikh Zaki akiwasalimia waumini wenzake waliokuwepo kwenye swala hiyo.
Ibada ikiendelea.
Swala ikifanyika katika viwanja hivyo vya Mwembe Yanga.
Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed El- Fitr.
Waumini wa dini ya kiislam wakiswali kuhitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali kwa unyenyekevu mkubwa katika swala hiyo.

Related

Hot Stories 6223553305240438887

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item