TAARIFA KAMILI KUHUSU MSIBA WA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KILINDI, BEATRICE SHELUKINDO | LUKAZA BLOG

TAARIFA KAMILI KUHUSU MSIBA WA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KILINDI, BEATRICE SHELUKINDO

Familia ya Bwana William H. Shelukindo, Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindokilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/...

image.jpeg
Familia ya Bwana William H. Shelukindo, Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindokilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu 8 Galu Street, Ada Estate, Dar es salaam na huko Arusha.

Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano Tarehe 6/07/2016 alasiri Mjini Arusha.

Bwana ametoa Bwana, ametoa Jina la Bwana lihimidiwe.

Related

Hot Stories 6343567872343907201

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item