Taiwan yarusha kombora la kulipua meli kimakosa | LUKAZA BLOG

Taiwan yarusha kombora la kulipua meli kimakosa

Image copyright GETTY Image caption Taiwan Jeshi la wanamaji la Taiwan limezindua kimakosa kombora la kulipua meli kutoka kambi yake ya K...

Image copyrightGETTY
Image captionTaiwan
Jeshi la wanamaji la Taiwan limezindua kimakosa kombora la kulipua meli kutoka kambi yake ya Kaohsiung, maafisa wanasema.
Boti moja iliokuwa ikipiga doria ilikuwa inafanyiwa zoezi la ukaguzi wakati kombora hilo Hsiung Feng 3 liliporushwa .
Kombora hilo lilianguka katika maji ya kisiwa cha Penghu karibu na China lakini halikusababisha madhara yoyote.
Kisa hicho kinajiri wakati ambapo China inasheherekea maadhimisho ya miaka 95 tangu kuanzishwa kwa chama cha Kikomyunisti.
Wakati alipoulizwa na wanahabari iwapo kisa hicho kitaathiri uhusiano na Beijing,naibu Admirali Mei Chia-hsu alisema wanamaji hao waliripoti kwa wizara ya ulinzi ya kisiwa hicho.
Image copyright
Image captionTaiwan
Alisema kuwa kisa hicho kinachunguzwa na kitaangaziwa vilivyo.
Haijulikani iwapo Bejing ilijulishwa.
Kombora hilo linaweza kurushwa umbali wa kilomita 300.China inaichukulia Taiwan kama mkoa wake uliojitenga.Chanzo BBC Swahili

Related

Kimataifa 320604495714826302

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item