Tamasha la watoto la SuSo na TBL Group lafana | LUKAZA BLOG

Tamasha la watoto la SuSo na TBL Group lafana

  Meneja Uhusiano wa TBL Group,Editha Mushi akisalimia baadhi ya watoto waliohudhuria tamasha la watoto lililoandaliwa na taasisi ya vija...

 Meneja Uhusiano wa TBL Group,Editha Mushi akisalimia baadhi ya watoto waliohudhuria tamasha la watoto lililoandaliwa na taasisi ya vijana ya SuSo na kufanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers-Kawe jijini Dar es Salaam
 Vijana kutoka taasisi ya SuSo wakiangalia michezo ya watoto katika viwanja vya Tanganyika Packers
 Meneja Uhusiano wa TBL Group,Editha Mushi akiwafundisha kuchora baadhi ya watoto waliohudhuria tamasha la watoto lililoandaliwa na taasisi ya vijana ya SuSo na kufanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers-Kawe jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya watoto walioshiriki tamasha la taasisi ya vijana ya SuSo wakishindana mbio za magunia katika viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya TBL Group.
 Watoto walishiriki michezo ya aina mbalimbali na kugawiwa zawadi
Watoto wa Kawe  washiriki michezo na burudani mbalimbali

Katika kumalizia maadhimisho ya sikukuu ya Idd iliyoadhinishwa wiki hii,taasisi a Vijana ya SuSo ya Kawe jijini Dar e salaam iliandaa tamasha la watoto lililofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers ambapo kampuni ya TBL Group ilikuwa mmoja wa wadhamini.

Katika tamasha hilo watoto kutoka eneo la Kawe na vitongoji mbalimbali walishiriki kucheza michezo mbalimbali ya watoto ,kucheza muziki na kufanya mashindano ya kuchora ,mashindano yam bio na kukimbia kwenye magunia.

Related

Michezo 1440941449337298089

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item