TBL Group family day 2016 yafana vilivyo | LUKAZA BLOG

TBL Group family day 2016 yafana vilivyo

  Wana msondo wakimwaga burudani kwa wafanyakazi wa TBL Group   Mkurugenzi Rasiriamali watu wa TBL Group David Magesa (kushoto) akimk...

 Wana msondo wakimwaga burudani kwa wafanyakazi wa TBL Group
 Mkurugenzi Rasiriamali watu wa TBL Group David Magesa (kushoto) akimkabidhi Mercy Maliwa  zawadi kwa kuibuka mshindi wa shindano la mpango wa AfyaKwanza , wakati wa  Siku ya wafanyakazi wa kampuni hiyo (Family Day) iliyofanyika kwenye viunga vya  hoteli ya Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakisafishwa   kucha za miguu pamoja na kupakwa rangi kwenye burudani za siku ya familia
 Msanii maarufu wa vichekesho  Joti alikuwepo kumwaga burudani
 Burudani tele za muziki zilikuwepo
 Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wakijinafasi kwa kuogelea
 Wototo wa wafanyakazi walicheza michezo mbalimbali
 Zoezi la Afya Kwanza lilitekelezwa kwa vitendo
 Baadhi ya wafanyakazi na família zao wakipata misosi
Watoto wakiweza kujibu maswali ya ufahamu na kujishindia zawadi
Wafanyakazi wa TBL Group wa Dar es Salaam na familia zao walikutana na familia zao na kukaa pamoja na kufurahi huku wakishirikiana kucheza michezo,kupata burudani ya muziki na vichekesho kutoka kwa wasanii mbalimbali bila kusahau misosi na vinywaji hali ambao ilileta furaha katika tukio hilo muhimu kwa kampuni la kuwafanya wafanyakazi kuzidi kufahamiana kwa karibu nje ya mazingira ya kazi na familia zao pia kuwa na ukaribu.

Related

kitaifa 7044482706096601210

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item