TBL Group yadhamini semina ya wakaguzi wa magari wa polisi Mwanza | LUKAZA BLOG

TBL Group yadhamini semina ya wakaguzi wa magari wa polisi Mwanza

  Wakaguzi wa magari kutoka jeshi la Polisi wakifuatilia mafunzo wakati wa semina ya ukaguzi wa magari iliyofanika jijini Mwanza   ...

 Wakaguzi wa magari kutoka jeshi la Polisi wakifuatilia mafunzo wakati wa semina ya ukaguzi wa magari iliyofanika jijini Mwanza
 Wakaguzi wa magari kutoka jeshi la Polisi wakifuatilia mafunzo  ya ukaguzi wa magari kwa vitendo kutoka kwa Mkufunzi Hubert Kubo kutoka kampuni ya CFAO wakati wa semina ya ukaguzi wa magari iliyofanyika jijini Mwanza
 Wakaguzi wa magari kutoka jeshi la Polisi walitembelea maeneo ya kiwanda  
Wakaguzi wa magari kutoka jeshi la Polisi  wakishauriana jinsi ya ukaguzi wa magari makubwa wakati wa semina hiyo.

Katika mkakati wake wa  kushirikiana na serikali na jamii katika kutoa elimu ya usalama,kampuni ya TBL Group imedhamini semina kwa wakaguzi wa magari kutoka Jeshi la Polisi jijini Mwanza ambayo imefanyika katika kiwanda cha TBL cha Mwanza na kuendeshwa na Mtaalamu wa magari kutoka kampuni ya CFAO,Bw.Hubert Kubo.
 

Semina hiyo iliendeshwa kwa  njia shirikishi ambapo  washiriki walijadiliana masuala mbalimbali yanayohusiana na usalama barabarani na changamoto zilizopo katika kukagua vyombo vya moto na  jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini.

Related

kitaifa 4560517962014637054

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item