Tigo wazindua duka jipya la kisasa wilaya ya Kongwa, mjini Kibaigwa | LUKAZA BLOG

Tigo wazindua duka jipya la kisasa wilaya ya Kongwa, mjini Kibaigwa

Mkuu wa Wilaya mpya ya Kongwa, mjini Kibaigwa, Deogratius Ndejembi(katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Tigo mjin...

Mkuu wa Wilaya mpya ya Kongwa, mjini Kibaigwa, Deogratius Ndejembi(katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Tigo mjini Kibaigwa, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata, kulia ni Meneja Ubora kwa wateja, Mwangaza Matotola.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Kibaigwa wakishuhudia uzinduzi wa duka hilo mapema wiki iliyopita.

Related

Biashara 7495185002210520124

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item