Ubalozi wa Iran Tanzania Yaandaa Iftar kwa Wananchi wa Zanzibar Hoteli ya Tembo Shangani | LUKAZA BLOG

Ubalozi wa Iran Tanzania Yaandaa Iftar kwa Wananchi wa Zanzibar Hoteli ya Tembo Shangani

Wanafunzi wa Madrasatul Ibadul- Rahaman Mwanakwerekwe C Unguja wakisoma Maulidi wakati wa hafla ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Ira...

Wanafunzi wa Madrasatul Ibadul- Rahaman Mwanakwerekwe C Unguja wakisoma Maulidi wakati wa hafla ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran Nchini Tanzania katika haotli ya tembo shangani Zanzibar. 
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayuob Mohammed Mahmoud akiwa na Shekh. Salim Mohammed Hassan Al Qadin Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserekali ya ZAHCO,akimkaribisha katika hafla hiyo ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran Tanzania. 
Wageni waalikwa wakipata iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran kwa Wananchi wa Unguja katika hoteli ya tembo shangani Zanzibar
Wageni waalikwa wakipata iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran kwa Wananchi wa Unguja katika hoteli ya tembo shangani Zanzibar
Wageni waalikwa wakipata iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran kwa Wananchi wa Unguja katika hoteli ya tembo shangani Zanzibar
Wakwanza mwenye koti ni Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Iran Tanzania Shekh. Ali Baghari  na Shekh Maulana Shamsul Hassan wakijumuika na Mgeni rasmin Mufti wa Mkuu wa Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi katika futari ilioandali kwa Wananchi wa Zanzibar katika Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni Ubalozi wa Iran Tanzania Shekh. Ali Baghari akitowa salamu za Wananchi wa Iran wakati wa Iftari hiyo ilioandaliwa na Ubalozo wa Iran Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni Ubalozi wa Iran Tanzania Shekh. Ali Baghari akitowa salamu za Wananchi wa Iran wakati wa Iftari hiyo ilioandaliwa na Ubalozo wa Iran Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.


Profesha Shariff akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.
Wananchi wa Zanzibar wakiwa katika hafla hiyo ia Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran Tanzania katika Hoteli ya Temba Zangani Zanzibar.
Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Fadhil Soraga akitowa mawaidha wakati wa hafla hiyo ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran.
 Shekh. Salim Mohammed Hassan Al Qadin Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserekali ya ZAHCO, Mratibu wa hafla hiyo ya Iftar akitowa shukrani kwa Wageni. 
Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Hassan Othman Ngwali akisoma dua baada ya kumalizika hafla hiyo ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran, wapili Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi. 
Wageni waalikwa wakiitikia dua.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi akiagana na Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni Ubalozi wa Iran waandaaji wa Iftar hiyo.Imetayarishwa na OthmanMapara.Zanzinews,Blogspot.Com

Related

kitaifa 2274793610999238614

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item