*UJIO WA NABII MKUU SHEPHERD BUSHIRI [Major 1] NCHINI TANZANIA* | LUKAZA BLOG

*UJIO WA NABII MKUU SHEPHERD BUSHIRI [Major 1] NCHINI TANZANIA*

  Kwa mara ya kwanza katika mwaka huu 2016, Nabii Shepherd Bushiri [ambaye anajulikana kwa jina la 'Major 1' - Prophet of the Mos...

 
Kwa mara ya kwanza katika mwaka huu 2016, Nabii Shepherd Bushiri [ambaye anajulikana kwa jina la 'Major 1' - Prophet of the Most High God] anakuja nchini  kwa ajili ya Taifa zima la Tanzania.

Major 1 ni Kiongozi wa PSB Ministries iliyo na Makao Makuu katika Mji Mkuu wa Pretoria, nchini South Africa. 

Major 1, akiwa na mwenyeji wake Chief Apostle Dionis Mtalemwa anatarajia kufanya rasmi Ibada ya Kinabii katika Mji wa Dar Es Salaam siku ya Jumatano tarehe 13-07-2016 kuanzia Saa Nane Mchana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
  
Aidha, Major 1 atakuwa na ziara ya Kinabii katika Mji wa Morogoro siku ya Alhamisi tarehe 14-07-2016 kuanzia Saa NANE Mchana katika Ukumbi wa Tanzanite. Nabii Erick Kagisa atakuwa mwenyeji wake katika Mji wa Morogoro.

Kumbuka "huwezi kukutana na Nabii Mkuu na Maisha yako yasibadilike". 

Hima wajulishe ndugu, jamaa na marafiki wafaidike na ziara ya Kinabii ya kipekee nchini itakayofanywa na Nabii Mkuu - Major 1.

Kwa taarifa zaidi tembelea mtandao wa kijamii ifuatayo: 

1. Facebook:
 - Prophet Shepherd Bushiri
 - ECG church Daressalaam branch 
2. Instagram - @prophetbushiri
3. Television - Prophetic Channel

Au piga Simu zifuatazo:
- (078) 311-1921
- (071) 907-7676
- 0766554191

Related

kitaifa 4407316969291969550

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item