USIKU WA HAPPNESS KULOLA WA MWANZA NA RICHARD GWAPULUKWA WA GEITA WAFANA | LUKAZA BLOG

USIKU WA HAPPNESS KULOLA WA MWANZA NA RICHARD GWAPULUKWA WA GEITA WAFANA

Baada ya Kufunga ndoa jana June 03,2016 katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, Bibi harus...

Baada ya Kufunga ndoa jana June 03,2016 katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, Bibi harusi Happness Daniel Kulola wa Jijini Mwanza (kushoto) pamoja na mmewe Richard Jeremiah Gwapulukwa wa Kasamwa mkoani Geita, wamefurahia usiku wao katika Sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa New Sun City Hotel Jijini Mwanza kuamkia leo. Pichani ni maharusi wakikata keki ukumbini.
Na BMG
Maharusi wakilishana keki
Bwana harusi akiwakabidhi keki wazazi wake upande wa bibi harusi
Bibi harusi akiwakabidhi keki wazazi wake upande wa bwana harusi
Maharusi wakiwa ukumbini. Wa kwanza kushoto ni Patron na wa kwanza kulia ni Matron
Maharusi wakiwa Ukumbini. Kumbuka bibi harusi ni binti wa mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dkt.Daniel Moses Kulola.
Mshereheshaji katika ubora wake kwenye kufungua shampeini
Maharusi wakinyweshana shampeni
Kiss mwanana, ishara ya Upendo wa dhati
Bibi harusi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake
Maharusi wakiwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki kupata chakula
Taswira ya Ukumbini

Related

kitaifa 5950171570658519320

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item