Wafanyakazi bora kiwanda cha TBL Ilala wapongezwa | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi bora kiwanda cha TBL Ilala wapongezwa

Meneja wa Kiwanda cha bia cha TBL Group kilichopo Ilala jijini Dar es Salaam, Calvin Martin, (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ...

Meneja wa Kiwanda cha bia cha TBL Group kilichopo Ilala jijini Dar es Salaam, Calvin Martin, (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi waliofanya vizuri katika utendaji wao   wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi iliyofanyika  kiwandani hapo jijini Dar es Salaam.
Baadhi wafanyakazi bora waliochaguliwa na kampuni katika  kipindi hiki wakipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha TBL cha Dar es Salaam,Calvin Martin (kushoto) na anaeshuhudia katikati ni mtaalamu wa uzalishaji bora kwa kampuni hiyo Charles Nkondola
Kiwanda cha  bia cha TBL Group kilichopo wilayani  Ilala mkoani Dar es Salaam kimewapongeza wafanyakazi wake bora ambapo kwa kutambua mchango wao kwa kampuni kimewapatia zawadi mbalimbali katika hafla iliyofanyika kiwandani hapo mwishoni mwa wiki.
 

Meneja wa kiwanda hicho,Calvin Martin amesema kuwa kampuni inawashukuru kwa kujitoa na kufanya kazi kwa ufanisi na itaendelea kuthamini mchango wa kila mfanyakazi kwa kuwa mafanikio inaoendelea kuyapata yanatokana na mchango kwa kila mmoja wao.

Related

kitaifa 677387413571018078

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item