Wafanyakazi bora Konyagi wapongezwa | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi bora Konyagi wapongezwa

  Meneja idara ya    uhandisi    wa Kiwanda cha Konyagi    cha    jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto)     akikabidhi zawadi kwa...

 Meneja idara ya  uhandisi  wa Kiwanda cha Konyagi  cha  jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto)   akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi  bora wa kampuni hiyo
Wafanyakazi bora wa kampuni ya Konyagi katika picha ya pamoja na Maofisa wa kampuni hiyo  muda mfupi baada ya kutunukiwa zawadi

Kampuni ya kutengeneza vinywaji ya TDL kilichopo chini ya TBL Group imewapongeza wafanyakazi wake bora katika msimu huu ambapo imewatunukia zawadi mbalimbali katika hafla iliyofanyika katika kiwanda cha Konyagi kilichopo jijini Dares Salaam

Akiongea wakati wa hafla hiyo Mkuu wa Idara ya Uhandisi wa kampuni hiyo aliwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii na kuongeza kuwa kampuni inathamini mchango wa kila mfanyakazi wake na ndio maana imekuwa na utaratibu wa kuwapatia tuzo mbalimbali.

Wafanyakazi hao walishukuru mwajiri wao kwa kuthamini na kutambua mchango wanaoutoa kwa kampuni

Related

Biashara 4610382470364331453

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item