Yaliyojiri usiku wa TBL Group MOTISHA Awards | LUKAZA BLOG

Yaliyojiri usiku wa TBL Group MOTISHA Awards

  Wafanyakazi wakisheherekea ushindi wa tuzo ya Motisha kwa furaha Burudani mbalimbali za muziki pia zilikuwepo Kampuni ya ...

 Wafanyakazi wakisheherekea ushindi wa tuzo ya Motisha kwa furaha
Burudani mbalimbali za muziki pia zilikuwepo
Kampuni ya TBL Group imewatunukiwa tuzo wafanyakazi wake tuzo ya MOTISHA kwa kutambua mchango mkubwa walioutoa kuleta mafanikio kwa kampuni katika kipindi cha mwaka uliopita.
 
Hafla ya kukabidhi tuzo zinazojulikana kama “Tuzo za Motisha za TBL Group” ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City   na ilihudhuriwa na wafanyakazi  zaidi ya 300 kutoka viwanda vyote vilivyopo chini ya kampuni hiyo kutoka mikoa ya Dar es Salaam,Kilimanjaro,Mbeya na Mwanza na kiwanda cha Mwanza kilitunukiwa tuzo ya ushindi wa jumla .

Related

kitaifa 8275930648063195968

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item