Alikiba, Lady Jay Dee kukiwasha kwenye Tamasha la Serebuka Kesho | LUKAZA BLOG

Alikiba, Lady Jay Dee kukiwasha kwenye Tamasha la Serebuka Kesho

Wasanii Alikiba, lady jay dee na wengine wengi kesho kushusha burudani ya Nguvu katika viwanja vya posta ikiwa ni sehemu ya kushereheke...

Wasanii Alikiba, lady jay dee na wengine wengi kesho kushusha burudani ya Nguvu katika viwanja vya posta ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka miwili ya Chaneli ya Startimes Swahili ambapo tamasha hilo likiwa na lengo la kuwashukuru watanzania kwa kutoa sapoti kubwa sana katika kuangalia Chaneli hiyo inayopatikana katika Vig'amuzi vya Startimes pekee. Tamasha la Serebuka limedhaminiwa na HUAWEI Tanzania

Tamasha hilo litapambwa pia na Wasanii mbalimbali kutoka bongo movie huku wasanii kama Eskide mkali wa singeli atashusha burudani ambayo kila atakayehudhuria atafurahishwa nayo. 

Tamasha la Serebuka Litaanza saa nne asubuhi katika viwanja vya Posta Kijitonyama huku baadhi ya Huduma na bidhaa za startimes zitapatikana pia kama vile TV, Simu, Projector pamoja na Dekoda za Startimes.

Kiingilio cha Tamasha hilo ni Shilingi Elfu Tano tu. Karibu wote

Related

Burudani 1247528143072558865

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item