Anikwa Kuonyeshwa Channel ya ST Swahili kupitia Startimes Saa tatu usiku. | LUKAZA BLOG

Anikwa Kuonyeshwa Channel ya ST Swahili kupitia Startimes Saa tatu usiku.

Katika Hali ya Kawaida Ushawahi kuona mtu akifumaniwa anakuwa kwenye Hali gani? Je Ushawahi Kufumaniwa? Je Ushawahi kuona mchepuko akimfu...

Katika Hali ya Kawaida Ushawahi kuona mtu akifumaniwa anakuwa kwenye Hali gani? Je Ushawahi Kufumaniwa? Je Ushawahi kuona mchepuko akimfumaniwa? Je Mume au Mke?

Basi haya yote utayapata kwenye Kipindi cha ANIKWA kitakachoanza kurushwa tarehe 06.08.2016 kupitia Channel ya ST Swahili inayopatikana kwenye King'amuzi cha Startimes pekee kuanzia Saa tatu Usiku kila Jumamosi.

Related

Filamu 5123880684373745285

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item