MAAFISA ARDHI WATOA ELIMU KWA WAKAZI WA ZAKHIEM JIJINI DAR ES SALAAM | LUKAZA BLOG

MAAFISA ARDHI WATOA ELIMU KWA WAKAZI WA ZAKHIEM JIJINI DAR ES SALAAM

 Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema Isango (kushoto) akimpatia   vipeperushi  mbalimbali vinavyotoa El...

 Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema Isango (kushoto) akimpatia   vipeperushi  mbalimbali vinavyotoa Elimu ya maelezo kuhusu huduma za Sekta ya Ardhi Nchini, Dereva mwenye Gari lenye namba za usajili T 632 BXD, maeneo ya Zakhiem, Jijini  Dar es Salaam  
  Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema Isango (kulia) akimpatia vipeperushi mbalimbali mkazi wa Mbagala Chemchem, Kasim Bahari  (kushoto) baada ya kumpa Elimu ya mumhamasisha jinsi ya kuona umuhimu wa kulipa kodi ya pango la Ardhi,  Dar es Salaam. wakatikati ni   Afisa habari wa Wizara hiyo, Hassan Mabuye 
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Mboza Lwandiko akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhamasisha  wananchi kuhusiana na ulipaji wa Pango la Ardhi maeneo ya Mbagala Zakhiem  
  Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema 
Isango (kulia) akiwapatia Wananchi  vipeperushi baada ya kuwaelimisha kuhusiana na mambo mambo mbalimbali na kuwapa   Elimu ya maelezo kuhusu 
huduma za Sekta ya Ardhi Nchini na kuwapa elimu ya ulipaji kodi za viwanja na makazi , maeneo ya Zakhiem, Jijini  Dar es Salaam  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Related

kitaifa 839470235233283156

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item