Mkuu wa Raslimali watu wa SABMiller kanda ya Afrika afanya ziara nchini | LUKAZA BLOG

Mkuu wa Raslimali watu wa SABMiller kanda ya Afrika afanya ziara nchini

  Mmoja wa wafanyakazi wa TBL Group akiuliza swali kwenye mkutano huo   Wafanyakazi wakisikiliza majadiliano   Baadhi ya wafan...

 
Mmoja wa wafanyakazi wa TBL Group akiuliza swali kwenye mkutano huo
 Wafanyakazi wakisikiliza majadiliano
 Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuongea na bosi wa raslimali watu wa SABMiller Kanda ya Afrika

 Baadhi ya wafanyakazi wakibadilishana mawazo
 Mfanyakazi wa TBL Group akiuliza swali
Lucia Swartz akiongea na wa wafanyakazi
Mkurugenzi wa kitengo cha Raslimali watu wa kampuni ya SABMiller kanda ya Afrika,Lucia Swartz, yuko nchini kwa ziara ya kikazi ambapo amekutana na wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni hiyo.

Lucia Swartz amekutana na wafanyakazi katika hoteli ya Holiday Inn iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo pia alipata fursa ya kufahamiana nao na kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya kuboresha ustawi wa wafanyakazi ambapo pia walipata fursa ya kuuliza masuala mbalimbali yanayohusiana na utawala na utendaji wa kazi zao za kila siku.

Related

Biashara 1984099131705930794

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item