MWANDISHI SIMON KIVAMWO ANAHITAJI DAMU KUOKOA MAISHA YAKE, SHIMYE WANAHABARI NA WADAU | LUKAZA BLOG

MWANDISHI SIMON KIVAMWO ANAHITAJI DAMU KUOKOA MAISHA YAKE, SHIMYE WANAHABARI NA WADAU

Bw. Simon Kivamwo Waandishi  wa habari wakitoa damu ili kuwezesha matibabu ya Mwandishi wa habari mkongwe hapa nchini Bw. Simon Ki...

Bw. Simon Kivamwo
Waandishi  wa habari wakitoa damu ili kuwezesha matibabu ya Mwandishi wa habari mkongwe hapa nchini Bw. Simon Kivamwo ambaye anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Ocean Raod iliyoko jijini Dar es Salaam leo Agosti 30,  2016. 

Kwa mujibu wa Mwandishi wa Habari anayeratibu zoezi hilo  Bw.Thompson Kivamwo ambaye anaugua kwa muda mrefu sasa, amezidiwa na  maradhi leo hii na kukimbizwa kwenye hospitali hiyo ambapo madaktari  walihitaji kumuongezea damu. Benjamin Thomspon ametoa  wito kwa  wanahabari na jamii kwa ujumla kujitokeza kumchangia damu mwandishi mwenzetu ili kuokoa maisha yake. Sehemu ya kutolea damu ni Hospitali ya  Mnazi Mmoja, Kariakoo jijini Dar es Salaam

Related

Kijamii 4879981292384241500

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item