News Alert:Wadhaniwao ni Majambazi 14 wakamatwa Vikindu, Polisi yapambana kiume | LUKAZA BLOG

News Alert:Wadhaniwao ni Majambazi 14 wakamatwa Vikindu, Polisi yapambana kiume

MKURANGA, PWANI: Mapigano makali yanaendelea hivi sasa kati ya Askari Polisi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi eneo la Vikindu. M...


MKURANGA, PWANI: Mapigano makali yanaendelea hivi sasa kati ya Askari Polisi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi eneo la Vikindu.

Magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkuranga, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru zimefungwa kutokana na mapambano hayo.

Timu ya Mwananchi iliyo eneo la tukio imeshuhudia magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.

Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkurang, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru zimefungwa kutokana na mapambano hayo.

=> Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. Kiongozi wa wahalifu wao ni Kanali wa Jeshi mstaafu.Chanzo Jamii Forums

Related

Hot Stories 6233944928202396483

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item