PROFESA MUHONGO AZINDUA MPANGO MKUBWA WA KUENDELEZA USAMBAZAJI UMEME VIJIJI VYOTE TANZANIA WENYE THAMANI YA DOLA 1,367 | LUKAZA BLOG

PROFESA MUHONGO AZINDUA MPANGO MKUBWA WA KUENDELEZA USAMBAZAJI UMEME VIJIJI VYOTE TANZANIA WENYE THAMANI YA DOLA 1,367

Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza jambo wakati akizindua mpango mkubwa wa kuendeleza usam...

Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza jambo wakati akizindua mpango mkubwa wa kuendeleza
usambazaji umeme vijijini hapa nchini (Treep), kwenye kijiji cha Kwedizinga,
wilayani Handeni mkoa wa Tanga agosti 15, 2016. kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawai na Somalia,
Bella Bird (PICHA NA MARGRETH SUBI)
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi,  Malawai na Somalia, Bella Bird, (kushoto waliokaa) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini (REA), Mhandisi Gessima Nyamo’hanga, wakisaini makata wa makubaliano ya utekelezaji wa mpango huo wa TREEP, mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Mhongo kwenye hafla iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa mpango huo.

Related

kitaifa 3554136779755645093

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item