SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA(TANAPA) LAKABIDHI JENGO LA BWALO LA CHAKULA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MWIKA. | LUKAZA BLOG

SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA(TANAPA) LAKABIDHI JENGO LA BWALO LA CHAKULA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MWIKA.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakitia saini...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakitia saini hati ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya
Mwika jana wilayani Moshi,Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa kwa kushirkiana na Halmashauri ya  wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil  186,494,890 zimetumika..
Baadhi ya Wanafunzi katika shule ya sekondari ya Mwika wakiwa katika hafla fupi ya makabidhiano ya jengo la Bwalo kwa ajili ya Chakula.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi hati ,Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq baada ya saini hati ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya  Mwika jana wilayani Moshi,Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa kwa kushirkiana na Halmashauri ya  wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ambapo jumla ya kiasi cha ShMil  186,494,890 zimetumika..
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq akizindua jengo la Bwalo la
chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi,Jengo
hilo limejengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa
kushirkiana na Halmashauri ya  wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ,ambapo jumla ya kiasi cha  Sh Mil  186,494,890 zimetumika.kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi
Baadhi ya Wanafunzi katika shule ya Sekondari ya Mwika.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq akizungumza mara baada ya kuzindua jengo la Bwalo la Chakula katika shule ya sekondari ya Mwika lililojengwa kutokana na msaada wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) .
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la kulia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mwika.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibooki akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Jengo la Bwalo la Chakula katika shule ya sekondari ya Mwika lililojengwa kwa msaada wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa ushirikiano na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na wananchi . Na Dixon Busagaga ,Kanda ya Kaskazini. 

Related

kitaifa 8532203615363652983

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item