Treni ya Posta kuelekea Pugu yaanza Majaribio | LUKAZA BLOG

Treni ya Posta kuelekea Pugu yaanza Majaribio

 Treni ya Kampuni ya Reli (TRL) katika Stesheni ya Dar es Salaam  kwenda Pugu huduma ambayo imeanza kutolewa leo. (PICHA ZOTE  NA KHAMISI...


 Treni ya Kampuni ya Reli (TRL) katika Stesheni ya Dar es Salaam  kwenda Pugu huduma ambayo imeanza kutolewa leo. (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA) 

KHAMISI KUSSA;TRENI ambayo imeanza kutoa huduma zake kwa safari ya kuanzia Stesheni ya Dar es Salaam hadi pugu,  imeanza kutolewa leo  katika stesheni hiyo  ambayo itakuwa ikitoa huduma kwa mara 3kwa asubuhi na  mida ya jioni  mara 3 ambayo itaongeza kasi ya uchumi kwa wakazi wa maeneo ya pugu hasa wakiwemo wachuuzi mbalimbali ambao hasa na wachuuzi wa mboga ambao walikua wakitegemea mabasi ya  Abiria (Daladala) hayo yalisemwa na chanzo chetu cha habari likicho dokeza , ambapo wengine hufika Ferry kwa majira ya Asubuhi na kuchukua   mboga katika Soko la Kimataifa la Samaki Ferry na kuchukua usafiri wa  Bajaji na kuwahi usafiri wa treni kwa muda unao uhitaji wengine kufika pugu inakua ni rahisi kutokana na usafiri huo utakua wa haraka tofauti na mabasi, wengine mboga zao huharibika, na chanzo  hicho kiliendelea kusema, kwanza anatoa pongezi kwa Rais Magufuli kwa  kuteuwa watu makini wanao endana na kasi ya Rais Magufuli 

Meneja huyu ambaye jinalake silifaham, naona mwanzo wake anafanya vizuri zaidi na kumuomba aongeze kasi na kuondoa changamoto iliyopo katika  usafiri hapa jijini Dar es Salaam kutokana na foleni aweze kuongeza  mabehewa na aongeze vituo,chanzo  chetu kiliweza kwenda mbali zaidi na kusema, kutokana na aina ya vitu ambavyo TRL wamependekeza hakika wanastaili pongezi na waweze  kukumbukwa watu wa wanao ishi maeneo ya kuanzia Kipawa, Jet Lumo,  Karakata na Mjimpya chini hivyo chanzo chetu kilitoa ushauri na maombi kwa Uongozi uweze kusaidia  kuwepo vituo hivyo katikati ya Vingunguti, kiembembuzi na Airport ili  kuwaguasa wakazi hao waishio maeneo hayo, kama wameamua kuweka usafiri  huo niwazi wananchi wengi watajitokeza kufanya biashara kwa wakati  tofauti ya mabasi ambapo kutwa nzima unakuwa katika usafiri na foleni ya jiji hili, ninaimani  kubwa wakitekeleza hayo niwazi wananchi watakuwa na ari ya  kuishughulisha kwa lengo la kujipatia kipato na kujikimu kimaisha na  ukilinganisha na kauli ya Hapa kazi
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakigombania kuingia katika mabehewa baada ya kuanzishwa usafiri huo

 Wanafunzi wa Shule Mbalimbali wakiwa ndani ya mabehewa ya  Treni ya Kampuni ya 


Reli (TRL) katika Stesheni ya Dar es Salaam  kwenda Pugu huduma ambayo imeanza kutolewa .

Askari wa kike ambae jina lake halikuweza kupatikana maramoja,  akidandia  behewa huku Treni ikiwa imeanza mwendo katika kituo ya Buguruni

Related

Hot Stories 8563688023135561729

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item