WANANDOTO KALA JEREMIAH ft MIRIAM CHIRWA | LUKAZA BLOG

WANANDOTO KALA JEREMIAH ft MIRIAM CHIRWA

Moja ya wimbo ulionigusa, Katika Nyimbo hii Kala Jeremiah ameimba kwa hisia na ameutendea haki wimbo kwasababu yaliyoimbwa kwenye mashair...

Moja ya wimbo ulionigusa, Katika Nyimbo hii Kala Jeremiah ameimba kwa hisia na ameutendea haki wimbo kwasababu yaliyoimbwa kwenye mashairi yanaonyesha ni jinsi gani ambavyo tunatakiwa kuwapa msaada watu katika kutimiza ndoto zao hususani Watoto. Ebu jiulize leo hii wapo waliojitoa kwako ili utimize ndoto zako? Basi sikiliza wimbo huu halafu ujitafakari

Related

Hot Stories 8470114154176720950

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item