WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA KAZI WA MFUKO WA TASAF MKOANI ARUSHA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akiwaongoza Wakuu wa mikoa kutoka kushoto,Mhandisi Mathew Mtigumwe(Singida),Dk Joel Bendera(Manyara),Said Meck Sadick(Kilimanjaro)na Martine Shighela(Tanga). Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akifungua mkutano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(Tafas)walioketi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,Ladislaus Mwamanga na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick. Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida ,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa Tasaf. Wakuu wa mikoa Mhandisi Mathew Mtigumwe wa Singida,Dk Joel Bendera wa Manyara(katikati) na Martine Shighela wa Tanga. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Tasaf ,Ladislaus Mwamanga akizungumza katika mkutano huo. Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha akizungumza jambo katika mkutano huo. Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga,Godwini Gondwe akizungumza katika mkutano huo. Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro,Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo. | LUKAZA BLOG

WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA KAZI WA MFUKO WA TASAF MKOANI ARUSHA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akiwaongoza Wakuu wa mikoa kutoka kushoto,Mhandisi Mathew Mtigumwe(Singida),Dk Joel Bendera(Manyara),Said Meck Sadick(Kilimanjaro)na Martine Shighela(Tanga). Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akifungua mkutano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(Tafas)walioketi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,Ladislaus Mwamanga na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick. Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida ,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa Tasaf. Wakuu wa mikoa Mhandisi Mathew Mtigumwe wa Singida,Dk Joel Bendera wa Manyara(katikati) na Martine Shighela wa Tanga. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Tasaf ,Ladislaus Mwamanga akizungumza katika mkutano huo. Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha akizungumza jambo katika mkutano huo. Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga,Godwini Gondwe akizungumza katika mkutano huo. Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro,Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala  Bora,Angellah Kairuki akiwaongoza Wakuu wa mikoa kutoka kushoto,...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala  Bora,Angellah Kairuki akiwaongoza Wakuu wa mikoa kutoka kushoto,Mhandisi Mathew Mtigumwe(Singida),Dk Joel Bendera(Manyara),Said Meck  Sadick(Kilimanjaro)na Martine Shighela(Tanga).Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala  Bora,Angellah Kairuki akifungua mkutano wa Mfuko wa Maendeleo ya  Jamii(Tafas)walioketi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,Ladislaus   Mwamanga na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick.
Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida ,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa  Tasaf.
Wakuu wa mikoa Mhandisi Mathew Mtigumwe wa Singida,Dk Joel Bendera wa Manyara(katikati) na Martine Shighela wa Tanga.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Tasaf ,Ladislaus  Mwamanga akizungumza katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha akizungumza jambo katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga,Godwini Gondwe  akizungumza  katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro,Kippi Warioba  akizungumza  katika mkutano huo.

Related

kitaifa 3006319588910987759

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item